Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”TANZANIA LAMBERT FOUNDATION”(TLF) ikiwa imeungana na Taasisi ya TANZANIA NETWORK PEOPLE WHO USE DRUGS (TANPUD)Inakualika wewe Mdau/Shirika/Kikundi au Serikali kuunga Mkono Tamasha maalum la michezo lililolenga Kupinga Matumizi ya madawa ya Kulevya kwenye jamii zetu kwa kutoa Mchango wako wa hali na mali kama nguo, mikanda, tshirts na hata ushiriki wako kwa wahitaji waathirika wa madawa hayo ili kufanikisha tukio hili kubwa linalotarajiwa kufanyika Tarehe 25/06/2024 katika Uwanja wa Muhimbili uliopo Jijini Dar es salaam.
wa Mawasiliano Zaidi unaweza Piga Simu namba 0769416653 ,Email info@lambertfoundation.or.tz au Fika katika ofisi zetu zilizopo kituo cha mwendokasi magomeni usalama. Jengo linaloangaliana na watumishi house floor ya kwanza.