Uncategorized

MAADHIMISHO YA SIKU KUPINGA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Tanzania lambert foundation ikishirikiana na taasi ya kutoa elimu na kupinga matumizi ya dawa za kulevya MEFADA katika siku ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya duniani iliyofanyika Tarehe 26/6/2024 katika wilaya ya kinondoni kata ya hanansifu mtaa wa mkunguni B. mgeni rasmi akiwa ni John Deogratius….mratibu wa NGOS wilaya ya kinondoni akiongozana na mratibu […]

MAADHIMISHO YA SIKU KUPINGA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA Read More »

Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”TANZANIA LAMBERT FOUNDATION”(TLF) ikiwa imeungana na Taasisi ya TANZANIA NETWORK PEOPLE WHO USE DRUGS (TANPUD)Inakualika wewe Mdau/Shirika/Kikundi au Serikali kuunga Mkono Tamasha maalum la michezo lililolenga Kupinga Matumizi ya madawa ya Kulevya kwenye jamii zetu kwa kutoa Mchango wako wa hali na mali kama nguo, mikanda, tshirts na hata ushiriki wako kwa wahitaji waathirika wa madawa hayo ili kufanikisha tukio hili kubwa linalotarajiwa kufanyika Tarehe 25/06/2024 katika Uwanja wa Muhimbili uliopo Jijini Dar es salaam.

wa Mawasiliano Zaidi unaweza Piga Simu namba 0769416653 ,Email info@lambertfoundation.or.tz au Fika katika ofisi zetu zilizopo kituo cha mwendokasi magomeni usalama. Jengo linaloangaliana na watumishi house floor ya kwanza.

Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”TANZANIA LAMBERT FOUNDATION”(TLF) ikiwa imeungana na Taasisi ya TANZANIA NETWORK PEOPLE WHO USE DRUGS (TANPUD)Inakualika wewe Mdau/Shirika/Kikundi au Serikali kuunga Mkono Tamasha maalum la michezo lililolenga Kupinga Matumizi ya madawa ya Kulevya kwenye jamii zetu kwa kutoa Mchango wako wa hali na mali kama nguo, mikanda, tshirts na hata ushiriki wako kwa wahitaji waathirika wa madawa hayo ili kufanikisha tukio hili kubwa linalotarajiwa kufanyika Tarehe 25/06/2024 katika Uwanja wa Muhimbili uliopo Jijini Dar es salaam. Read More »

Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”TANZANIA LAMBERT FOUNDATION”(TLF) ikiwa imeungana na Taasisi ya TANZANIA NETWORK PEOPLE WHO USE DRUGS (TANPUD)Inakualika wewe Mdau/Shirika/Kikundi au Serikali kuunga Mkono Tamasha maalum la michezo lililolenga Kupinga Matumizi ya madawa ya Kulevya kwenye jamii zetu kwa kutoa Mchango wako wa hali na mali kama nguo, mikanda, tshirts na hata ushiriki wako kwa wahitaji waathirika wa madawa hayo ili kufanikisha tukio hili kubwa linalotarajiwa kufanyika Tarehe 25/06/2024 katika Uwanja wa Muhimbili uliopo Jijini Dar es salaam.

Katika tukio hilo itatolewa Semina kuhusu madhara ya Matumizi ya Dawa za kulevya, elimu kwa jamii juu ya unyapaa kwenye familia zetu dhidi ya wahanga wa matumizi ya madawa hayo,na mambo mengine mengi mazuri bila ya kusahau kutakuwa na Michezo Mbalimbali ikiwemo Mpira wa Miguu, kuvuta Kamba, Kufukuza kuku n.k kwa Mawasiliano Zaidi unaweza Piga

Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”TANZANIA LAMBERT FOUNDATION”(TLF) ikiwa imeungana na Taasisi ya TANZANIA NETWORK PEOPLE WHO USE DRUGS (TANPUD)Inakualika wewe Mdau/Shirika/Kikundi au Serikali kuunga Mkono Tamasha maalum la michezo lililolenga Kupinga Matumizi ya madawa ya Kulevya kwenye jamii zetu kwa kutoa Mchango wako wa hali na mali kama nguo, mikanda, tshirts na hata ushiriki wako kwa wahitaji waathirika wa madawa hayo ili kufanikisha tukio hili kubwa linalotarajiwa kufanyika Tarehe 25/06/2024 katika Uwanja wa Muhimbili uliopo Jijini Dar es salaam. Read More »

MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI TLF WAJA KIVINGINE.

Kuelekea siku ya kilele cha Vijana Duniani, Team ya Tanzania Lambert Foundation (TLF) leo tarehe 12 mwezi Agosti 2023 kupitia wawakilishi wao katika kutambua umuhimu na mchango wa vijana katika Taifa la Tanzania na kidunia kwa ujumla, wamekabidhi baadhi ya vifaa vya shule kwa wanafunzi watatu kutoka kituo cha watoto yatima cha Kinondoni Moscow, wanaotarajiwa

MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI TLF WAJA KIVINGINE. Read More »