Tanzania lambert foundation ikishirikiana na taasi ya kutoa elimu na kupinga matumizi ya dawa za kulevya MEFADA katika siku ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya duniani iliyofanyika Tarehe 26/6/2024 katika wilaya ya kinondoni kata ya hanansifu mtaa wa mkunguni B. mgeni rasmi akiwa ni John Deogratius….mratibu wa NGOS wilaya ya kinondoni akiongozana na mratibu wa dawa afya ya akili kinondoni

