Katika tukio hilo itatolewa Semina kuhusu madhara ya Matumizi ya Dawa za kulevya, elimu kwa jamii juu ya unyapaa kwenye familia zetu dhidi ya wahanga wa matumizi ya madawa hayo,na mambo mengine mengi mazuri bila ya kusahau kutakuwa na Michezo Mbalimbali ikiwemo Mpira wa Miguu, kuvuta Kamba, Kufukuza kuku n.k
kwa Mawasiliano Zaidi unaweza Piga Simu namba 0769416653,Email info@lambertfoundation.or.tz au Fika katika ofisi zetu zilizopo kituo cha mwendokasi magomeni usalama. Jengo linaloangaliana na watumishi house floor ya kwanza.
TANZANIA LAMBERT FOUNDATION, “SAIDIA LEO SABABU KESHO WAWEZA KUWA MHITAJI”


