TANZANIA LAMBERT FOUNDATION(TLF) imekusudia kuendelea na kuchangia wahitaji kuleta furaha kwa mwingine mana kesho yaweza kuwa wew ndiye mhitaji.

TLF imefanikiwa ktk kupata msaada kidogo wa mabegi, sare za shule, madaftari na kawapa ushaur sahihi kabla hawajajiunga na masomo yao ya juu
Tunataman msomaji aweze kutuunga mkono ktk shughuli zetu za kuwasaidia watoto waweze kwenda shule na furaha
Tukio ni urudishaji wa mchango na shukrani kwa jamii
Kupitia kituo cha wahitaji kilichopo Moscow…kilicholenga makabidhiano ya uniform na mahitaji mengine ya shule kwa wanafunzi watatu waliofaulu level ya kidato cha nne